Mageuko ya spishi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Tree of life.svg|thumb|right|250px|''Mti wa uhai'' huonyesha mabadiliko wa spishi tangu mwanzo wa uhai]]
'''Mageuko ya spishi''' ([[ing.]] ''evolution'') ni [[nadharia]] ya ki[[sayansi]] iliyobuniwa na kutumiwa na wataalamu wa [[biolojia]], hasa [[tawi]] la [[jenetikia]].
 
Inasema ya kwamba [[spishi]] za [[viumbehai]] zilizopo [[dunia]]ni leo zimetokana na spishi zilizokuwa tofauti za zamani.