Tofauti kati ya marekesbisho "Jeshi la majini"

25 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
d (Kipala alihamisha ukurasa wa Jeshi la wanamaji hadi Jeshi la majini: jina la kawaida Tanzania)
 
[[Picha:AF1 da Marinha do Brasil 2.jpg|thumb|right|300px|Ndege ya kijeshi kwenye [[manowari ndege]] ya [[Brazil]]]]
 
'''Jeshi la majini''' au '''Jeshi la wanamaji''' ni kitengo cha pekee cha [[jeshi]] la mataifa mengi kilicho tayari kushindana na maadui kwenye maji hasa baharini.
 
Linajumlisha [[askari]], [[manowari]], [[meli]] za kuasaidia manowari, [[mabandari]] ya pekee na vituo vingine na pia [[eropleni]] za vita ya bahari.