Kaliningrad : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Калининград-коллаж1.jpg|thumb|Kaliningrad]]
'''Kaliningrad''' ([[Kirusi]]: '''Калининград''') ni [[mji]] wa [[Urusi]]. Ina wakazi 430.003. IkoHapa katikaiko makao makuu ya mkoa wa [[Kaliningrad Oblast]].
 
Hadi 1945 Kaliningrad ilikuwa mji wa Kijerumani uliojulikana kama [[Königsberg]]. 1945 kwenye mwisho wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] wakazi Wajerumani walikimbia au walifukuzwa na wakazi wapya walipelekwa hapa kutoka mikoa mengine ya Urusi.
 
2010 mji ulikuwa na wakazi 431,902.
 
== Tazama pia ==
* [[Orodha ya miji ya Urusi]]