Prussia Mashariki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:German Empire - Prussia - East Prussia (1878).svg|thumb|right|300px|Prussia Mashariki (nyekundu) katika mipaka ya Ujerumani ya 1871-1919.]]
[[Picha:East Prussia 1923-1939.png|thumb|right|250px|Prussia Mashariki katika mipaka ya 1923 hadi 1939]]
'''Prussia Mashariki''' ([[jer.]] ''Ostpreußen'', [[ing.]] ''East Prussia'', [[pol.]] ''Prusy Wschodnie'') ilikuwa jimbo la kihistoria katika dola la [[Prussia]] katika [[Ujerumani]] hadi mwaka 1945. Leo hii eneo lake limegawiwa kati ya mkoa wa Kaliningrad wa [[Urusi]] na mkoa wa Warmia i Mazury katika [[Poland]].
 
Prussia Mashariki ilikuwa chanzo cha Prussia yenyewe; tangu kuunganishwa na utemi wa Brandenburg ilikuwa tu jimbo la Mashariki. Mji mkuu ukawa Königsberg iliyoitwa leo hii kwa jina la Kirusi Kaliningrad.