Insha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tengua pitio 1020752 lililoandikwa na CarrickLiam (Majadiliano)
No edit summary
Mstari 21:
===Mwisho wa insha===
Sehemu hii mwandishi huandika [[hitimisho]] la insha yake. Kwa kawaida sehemu hii huwa ni fupi na hupangwa katika aya nyingine.
 
===Insha za vyuo vikuu===
Wanafunzi wa vyuo vikuu pia huhitajika kuandika mitungo ya insha ambayo ni tofauti na ya wale walio kwa shule za misingi na sekondari. Kwa walio shule za sekondari, wao hutoa mitungo yao kwa akili. Yaani hubuni. Katika vyuo vikuu, mambo hubailika ambako wafaa kunukuu vipengee vya vitabu tofauti na mitungo ya wengine ili uandike insha yako. Kwa kawaida, insha hizi huitwa essays kwa lugha ya Kimombo. Pia zinafuata kanuni fulani kama inavyoelezwa hapa [https://theessaypro.com/writing-definition-essay/ how to write a definition essay].
 
==Tazama pia==