Tofauti kati ya marekesbisho "1929"

358 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
== Matukio ==
* [[11 Februari]] - [[Mkataba wa Lateran]] kati ya serikali ya [[Italia]] na [[Papa]] kuhusu mamlaka juu ya [[Mji wa Vatikani]]
* kuanzia Juni 1929 uchumi wa Marekani ulianza kuporomoka haraka na kusababisha [[Mdororo Mkuu]] katika uchumi za nchi zote duniani zilizofuata uchumi wa kibepari
* 24 Oktoba 1929 - "[[Alhamisi Nyeusi]]" ''(Black Thursday)'' ambako bei ya hisa za makampuni mengi zilishuka ghafla na mshtuko huu ilifuatwa na kufilisika kwa theluthi moja ya benki za Marekani
 
== Waliozaliwa ==