Tofauti kati ya marekesbisho "1929"

39 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
 
 
== Matukio ==
* [[11 Februari]] - [[Mkataba wa Lateran]] kati ya [[serikali]] ya [[Italia]] na [[Papa]] kuhusu [[mamlaka juu]] ya [[Mji wa Vatikani]]
* kuanzia [[Juni]] 1929 [[uchumi]] wa [[Marekani]] ulianza kuporomoka haraka na kusababisha [[Mdororo Mkuu]] katika uchumi za nchi zote [[duniani]] zilizofuata uchumi wa kibepari[[ubepari]]
* [[29 Oktoba 1929]] - "[[Jumanne Nyeusi]]" ''(Black Tuesday)'' ambako [[bei]] ya [[hisa]] za [[Kampuni|makampuni]] mengi zilishuka ghafla na mshtuko huu ilifuatwaulifuatwa na kufilisika kwa [[theluthi]] [[moja]] ya [[benki]] za Marekani
 
== Waliozaliwa ==