Mkoa wa Lindi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''''Lindi''' ni [[jina]] la [[mji]], [[wilaya]] na [[mkoa]] ulioko Kusini-Mashariki mwa [[Tanzania]].''
 
'''Mkoa wa Lindi''' ni kati ya [[mikoa]] 31 iliyopo nchini [[Tanzania]] yenye [[postikodi]] [[namba]] '''65000'''<ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/lindi.pdf</ref>
 
Umepakana na mikoa ya [[Mkoa wa Pwani|Pwani]], [[Mkoa wa Mtwara|Mtwara]], [[Mkoa wa Ruvuma|Ruvuma]] na [[Morogoro]]. Upande wa mashariki hupakana na [[Bahari Hindi]].
Mstari 11:
Mkoa una wilaya sita za: [[Lindi Mjini]] na [[Lindi Vijijini]], [[Wilaya ya Kilwa|Kilwa]], [[Nachingwea]], [[Liwale]] na [[Ruangwa]].
 
[[Mito]] mikubwa ndiyo [[Lukuledi]], [[Matandomto Matandu|Matandu]] na [[mto Mavuji|Mavuji]], yote yaelekea Bahari Hindi.
 
Mwinuko huanza [[mwambao|mwambaoni]] ukipanda hadi [[mita]] 500, hakuna [[milima]] mirefu.
Mstari 20:
[[Kabila|Makabila]] makubwa zaidi ni [[Wamwera]], ambao wanapatikana hasa wilaya ya Nachingwea na Lindi vijijini katika [[kata]] za Rondo, halafu [[Wamachinga]], [[Wamalaba]] ambao wako zaidi Lindi mjini, [[Wamatumbi]] na [[Wangindo]] huko [[Kilwa]].
 
Idadi ya wakaziWakazi kwa wilaya ni (idadi katika mabano): Kilwa (171,850), Lindi Mjini (41,549), Lindi Vijijini (215,764), Liwale (75,546), Nachingwea (162,081), Ruangwa (124,516),
 
==Hali ya hewa==