Ayatollah : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Grand Ayatollahs Qom فتوکلاژ، آیت الله های ایران-قم 01.jpg|thumb|330x330px]]
'''Ayatollah''' (kwa [[kiajemiKiajemi]]: آيت الله,; kwa [[kiar.Kiarabu]]: '''آية الله''' ayatu 'llah - "alama ya Allah/Mungu") ni [[cheo]] cha kiongozi wa kidini katika [[Uislamu]] wa [[Shia]] hasa nchini [[Uajemi]] na pia [[Iraq]].
 
Cheo cha ayatollah hakilingani na [[kuhani]] au [[askofu]] katika [[dini]] nyingine. Kinafanana zaidi yana [[profesa]] wa [[chuo kikuu]] kwa sababu ayatollah hutambuliwa baada ya kumaliza [[masomo]] yake na kufundisha kwa [[muda]] fulani. Akionekana anajua mambo yake na anaheshimiwa na akina ayatollah waliomtangulia, ataanza kuitwa hivyo.
 
Wachache huitwa "ayatollah mkubwa" wakikubaliwa na wafuasi wengi sana, pia na wenzao.
 
Ayatollah aliyejulikana sana [[duniani]] alikuwa [[Ruhollah Khomeini]] ([[17 Mei]] [[1900]] - [[3 Juni]] [[1989]]) aliyeanzisha [[mapinduzi]] ya kiislamuKiislamu nchini Uajemi na kuwa kiongozi wa [[jamhuri]] ya kiislamuKiislamu.
 
Mwingine ni Ayatollah Mkubwa [[Ali Al-Hoessein al-Sistani]] ambaye ni kiongozi mkuu wa Washia nchini Iraq.
 
{{mbegu-dini}}
 
[[Jamii:Viongozi wa kiislamu|A]]