Mwangaza unaoonekana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Uangavu unaoonekana hadi Mwangaza unaoonekana: kufuata ushauri wa kamusi ya Sapce Lexikon / swahili
No edit summary
Mstari 1:
'''Mwangaza''' ni tabia ya [[nyota]] inayosaidia kuzitofautisha. Kuna tofauti kati ya '''mwangaza unaoonekana''' na '''mwangaza halisi'''.

Umbali kati ya vitu kwenye anga la nje ni kubwa sana. Nyota kubwa kama iko mbali inaonekanainaweza kuonekana hafifu, nyota ndogo kama iko karibu inaonekana angavu sana.

* '''Mwangaza unaoonekana''' ni kipimo cha ukali wa nuru wa gimba la angani jinsi unavyoonekana kwa mtazamaji kwenye dunia yetu. Unatajwa kwa namba na kizio chake ni magnitudo, kifupi mag. Kadri uang‘avu ni juu namba yake ni ndogo. <ref>Robert Bruce Thompson; Barbara Fritchman Thompson, ''Astronomy Hacks'' (Sebastopol, CA: O'Reilly, 2005), p. 88</ref> Kitu ang‘avu zaidi angani ni jua letu kenye uang‘avu unaonekana wa -−26,73 mag. Nyota ya Rijili Kantori ( [[:en:Alpha Centauri]]) inaonekana ang‘avu kushinda nyota kubwa zaidi ya Jibuta la Jauza kwa sababu iko karibu zaidi na dunia.
Mstari 8:

==Kipimo cha magnitudo==
Kwa kutaja kiasi cha mwangaza wanaastronomia hutumia kizio cha "magnitudo" (kifupi '''mag'''). Neno hili la [[Kilatini]] linamaanisha "ukubwa". Kadri mwangaza ni mkubwa namba ya magnitudo ni ndogo.

Kwa mfano nyota ya [[Sumbula]] ina magnitudo ya mag +1,04 mag. [[Rijili ya Jabari]] inayojulikana pia kama [[:en:Rigel|Rigel]] ina uanganvumwangaza unaoonekana wa mag +0.12 mag maana yake tunaona nuru yake ni kali zaidi.

Kama gimba la anga inang'aa sana ina [[namba hasi]] kwa mfano nyota angavu sana kama [[Shira]] ''(Sirius)'' na [[sayari]] za [[Zuhura]] ''(Venus)'' au [[Mshtarii]] ''(Jupiter)''.

Kipimo hakifuati mstari bali vizio vyake vinafuatana kwa hatua za [[logi]]. kwaKwa hiyo ongezeko la mwangaza kutoka kizio kimoja hadi kile kidogo zaidi kinachofuata ni takriban mara 2.5.

== Historia ya kipimo ==
Mstari 21:
Baadaye skeli ya kale ilipanushwa pande zote mbili kwa kupokea pia magimba angavu zaidi au hafifu zaidi. Kufuatana na ufafanuzi wa mwaka 1850 ungavu wa nyota ya daraja la kwanza (1.0 mag) ni mara 100 mwangaza wa nyota ya 6.0 mag, na hiyo mara 100 kuliko nyota ya 11.0 mag.

Mwanzoni nyota ya [[Kutubu]] (Polaris) ilifafanuliwa kuwa na mag +2. Baada ya kutambua ya kwamba Kutubu ni [[nyota geugeu]] sasa ni Vega inayotumiwa kama nyota ya kurejelea yenye mag 0 (inaweza kuonekana angavu zaidi kidogo). Kuna nyota nne tu zinazoonekana angavu zaidi ([[Shira (nyota)|Shira ''(Sirius)'']], [[Suheli|Suheli ''(Canopus)'']], [[Rijili Kantori|Rijili Kantori ''(Rigil Kentaurus, α Cen)'' ]] na [[Simaki|Simaki (Arcturus)]]), Shira ina mag -1.46.
== Mifano ya mwangaza unaoonekana na halisi ==

{| class="wikitable" style="margin-left:2em"

|- class=
== Mifano ya mwangaza unaoonekana na halisi ==
! Nyota

! Mwangaza
unaoonekana
(m)
{| class="wikitable" style="margin-left:2em"
! Mwangaza
halisi
(M)
|+ Kiwango cha juu cha mwangaza unaoonekana
wa magimba ya angani kadhaa
! Umbali<ref>Umbali katika astronomia mara nyingi hutajwa kwa [[parsec]]; kizio hiki ni sawa na [[miaka ya nuru]] 3.26</ref>

! Jina
|style="text-align:center"| [[Jua]]
! [[Gimba la angani|Aina ya kiolwa]]
|style="text-align:center"| −26,73 mag
! Magnitudo
ya juu
iliyotazamiwa
|style="text-align:center"| {{0}}+4,84 mag
|style="text-align:center"| 4,851·10−6 pc

| [[Jua]] || [[Nyota]] || align="right" |mag −26,73
|style="text-align:center"| [[Shira]]
([[:en:Sirius]])
|style="text-align:center"| {{0}}−1,46 mag
|style="text-align:center"| {{0}}+1,43 mag
|style="text-align:center"| 2,64 pc

| Jua ikitazamiwa
kutoka
Neptuni|| nyota || align="right" |mag −19,35
|style="text-align:center"| [[Vega]]

|style="text-align:center"| {{0}}+0,03 mag
|style="text-align:center"| {{0}}+0,58 mag
|style="text-align:center"| 7,75 pc

| [[Mwezi mpevu]] || [[Mwezi (gimba la angani)|Mwezi]] || align="right" |mag −12,73
|style="text-align:center"| [[Sumbula]]
([[:en:Spica]])
|style="text-align:center"| {{0}}+1,04 mag
|style="text-align:center"| {{0}}−3,51 mag
|style="text-align:center"| 81,3 pc

| [[Satelaiti ya Iridium]] || [[satelaiti]] || align="right" |mag −9{{0|,00}}
|style="text-align:center"| [[Rijili ya Jabari]]
([[:en:Rigel]])
|style="text-align:center"| {{0}}+0,12 mag
|style="text-align:center"| {{0}}−6,78 mag
|style="text-align:center"| 240 pc

| [[Kituo cha Anga cha Kimataifa ISS|ISS]] || [[chombo cha angani]] || align="right" |mag −5{{0|,00}}
|style="text-align:center"| [[Dhanabu]]
([[:en:Deneb]])

|style="text-align:center"| {{0}}+1,25 mag
| [[Zuhura|Zuhura (Venus)]] || [[sayari]] || align="right" |mag −4,67
|style="text-align:center"| {{0}}−7,24 mag

|style="text-align:center"| 499 pc
| [[Mshtarii]] || sayari || align="right" |mag −2,94

| [[Mirihi]] || sayari || align="right" |mag −2,91

| [[Utaridi]] || sayari || align="right" |mag −1,9{{0}}

| [[Shira (nyota)|Shira (Sirius)]] || nyota || align="right" |mag −1,46

| [[Suheli|Suheli (Canopus)]] || nyota || align="right" |mag −0,73

| [[Zohali]] || sayari || align="right" |mag −0,47

| [[Vega]] || nyota || align="right" |mag 0,03<ref>Imefafanuliwa kidesturi kama “0“ katika skeli ya mwangaza unaoonekana; hali halisi kuna tofauti ndogo</ref>

| [[Kutubu]] || nyota || align="right" | mag 1,97

| [[Galaksi ya Andromeda]] || [[galaksi]] || align="right" | mag 3,4{{0}}

| [[Uranus]] || sayari || align="right" | mag 5,5{{0}}

| [[1 Ceres]] || [[sayari kibete]] || align="right" | mag 6,6{{0}}

| [[Neptuni]] || sayari || align="right" | mag 7,8{{0}}

| [[Pluto]] || sayari kibete || align="right" | mag 13,9{{0}}

| [[Eris (sayari kibete)|Eris]] || sayari kibete || align="right" | mag 18,8{{0}}

==Marejeo==