Mwangaza unaoonekana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Mwangaza''' ni tabia ya [[nyota]] inayosaidia kuzitofautisha. Kuna tofauti kati ya '''mwangaza unaoonekana''' (ing. ''[[:en:apparent magnitude|apparent magnitude]]'') na '''mwangaza halisi''' (ing. ''[[:en:absolute magnitude|absolute magnitude]]'').
 
Umbali kati ya vitu kwenye anga la nje ni kubwa sana. Nyota kubwa kama iko mbali inaweza kuonekana hafifu, nyota ndogo kama iko karibu inaonekana angavu sana.