Tofauti kati ya marekesbisho "Mwangaza unaoonekana"

192 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Taurus 3m-6m.gif|300px|thumb|Mwangaza unaonekana kwa mfano wa kundinyota ya [[Tauri (kundinyota)|Tauri]]: mjini penye nuru nyingi nyota hadi mag 4 zinaonekana, penye giza hadi mag 6]]
'''Mwangaza''' ni tabia ya [[nyota]] inayosaidia kuzitofautisha. Kuna tofauti kati ya '''mwangaza unaoonekana''' (ing. ''[[:en:apparent magnitude|apparent magnitude]]'') na '''mwangaza halisi''' (ing. ''[[:en:absolute magnitude|absolute magnitude]]'').