Muundo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
imeandikwa na athumani chipofya
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Muundo''' katika [[lugha]] ni mpangilio na mtiririko wa visa na matukio katika kazi ya [[Fasihi|kifasihi]]. Hapa tunachunguza jinsi [[msanii]] wa kazi hiyo alivyounda na alivyounganisha tukio moja na jingine, kitendo kimoja na kingine, sura moja na nyingine . Tunapohakiki muundo katika kazi ya kifasihi, hasa [[riwaya]] na [[tamthilia]], kuna mambo ya kuzingatia. Mambo hayo ni:
* kuna mambo ya kuzingatia.Mambo hayo ni,
* Aina ya muundo
* Mgawanyo wa kazi hiyo
* umboUmbo la kazi hiyo
 
== Aina za muundo ==
* kunaKuna aina tatu za muundo,. Aina hizo ni.:
 
=== Muundo msago ===
* Huu ni muundo wa moja kwa moja ambao visa na matukio vimepangwa katika hali ya kufuatana kuanzia tukio la kwanza hadi la mwisho.
 
=== Muundo rukia ===
* Ni aina ya visa na matukio. Hapa kunakuwa na visa viwili au zaidi ambavyo hurukiana katika kusimuliwa kwake na mwisho wa visa hivi hugawana na kuwa kisa kimoja.
 
=== Muundo changamano ===
* Huu ni muundo ambao kunakuwa na muundo wa msago na rukia. Hapa visa huanza kwa urejeshi na kumaliziwa na msago.
 
== mgawanyoMgawanyo wa kazi hiyo ==
* katikaKatika mgawanyo wa kazi mhakiki anapaswa kueleza:
* suraSura/namba=riwaya
* sehemuSehemu/onesha=tamthiliya
* Idadi ya mstari kwa ubeti =ushauri
 
* ikumbukweIkumbukwe kwamba mwandishi anaweza kugawa kazi yake katika sehemu lakini akaipa picha sura na taswira.
 
== Umbo la kazi hiyo ==
*Katika katikakuangaliakuangalia umbo la kazi mhakiki anapaswa kueleza kama kazi hiyo, riwaya tamthiliya au [[ushairi]].
 
{{mbegu-lugha}}
 
[[Jamii:Fasihi]]