Skauti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Removing Alama.png, it has been deleted from Commons by Christian Ferrer because: Mass deletion of copyrighted or other inappropriate content -.
No edit summary
Mstari 2:
'''Skauti''' (kutoka [[neno]] la [[Kiingereza]] "scout") ni [[mtoto]] au [[kijana]] anayewajibika katika [[chama]] cha kimataifa, akivaa [[sare]] kama ya [[askari]] mdogo na kukaa katika safu.
 
Pia ni chama kisicho cha [[Serikali|kiserikali]] kinachomjenga kijana katika [[maadili]] mema kisichobaguana ya kujituma na kusaidia watu katika maisha yao.

Chama hicho hakibagui vijana kwa msingi wa [[jinsia]], [[umri]], [[dini]], [[rangi]] wala [[kabila]].
 
Skauti huhitajika kuwepo kwa kila [[shule]] za [[sekondari]] [[duniani]].
 
[[Mwanzilishi]] wa [[chama cha skauti]] [[duniani]] ([[1907]]) aliitwa Robert Baden-Powell ([[1857]]–[[1941]]) kutoka [[Uingereza]]. Lengo lake lilikuwa kusaidia vijana kukua vizuri pande zote ([[mwili]], [[nafsi]] na [[roho]]) ili hatimaye wawe [[raia]] wema katika [[jamii]].
Line 17 ⟶ 21:
*9. Skauti ni mwangalifu wa [[mali]] zake na za wengine pia.
*10. Skauti ni safi katika mawazo, maneno na matendo yake.
 
 
{{mbegu}}