Usanisinuru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Leaf 1 web.jpg|thumb|200px|Kila jani kina kiwanda cha kikemia ndani yake.]]
'''Usanisinuru''' ni mchakato wa kibiolojia na kikemia ambako [[mimea]] ya [[kijani]] inageuza [[nguvu]] ya [[nuru]] ya [[jua]] kuwa [[nishati]] ya kikemia. Inatengeneza [[kabohidrati]] ikitumia nguvu ya nuru ya jua na [[dioksidi kabonia]] ya [[Hewa|hewani]] pamoja na [[maji]].
 
Nje ya mimea kuna pia aina kadhaa za [[bakteria]] na hasa [[mwani]] zinazofanya usanisinuru.
 
Fomula yake ni
Mstari 9:
:[[dioksidi kabonia]] + [[maji]] + nishati nuru → [[glukosi]] + [[oksijeni]] + [[maji]]
Usanisinuru ni msingi wa [[maisha]] yote [[duniani]]. Unajenga [[mada]] ogania ambayo ni chanzo cha [[lishe]] katika [[mtando chakula]] kwa karibu viumbe vyote[[viumbehai]] vingine vyote kwa njia moja au nyingine. Kwa njia hii ni chanzo cha [[mtando chakula]] wa [[uhai]] wote wa kibiolojia.
 
== Mchakato wa usanisinuru ==