Jabari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Jabari Orion.png|thumb|400px|Jabari - Orion]]
[[Picha:Orion 3008 huge.jpg|thumb|400px|Nyota za Jabari jinsi zinavyoonekana; juu kushoto iko '''[[Ibuti la Jauza]]''' (Betelgeuse), nachini katikatikulia '''[[Rijili ya Jabari]]''' (Rigel) na chini katikati [[Nebula ya Jabari]] (Orion nebula)]]
'''Jabari''' ni [[kundinyota]] inayojulikana pia kwa jina lake la kimagharibi la [[:en:Orion (constellation)|Orion]]. Ni moja ya kundinyota zinazotambuliwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>
 
Mstari 10:
==Nyota==
Jabari ni kati ya kundinyota zinazoonekana vema kwenye anga la usiku katika kusini na pia kaskazini ya Dunia. Nyota saba angavu sana zinakumbukwa kirahisi na watazamaji wa anga.
Nyota nne za [[Rijili ya Jabari]] (Rigel), [[Ibuti la Jauza]] (Betelgeuse), Bellatrix and Saiph zinafanya pembenne, na katikati kuna safu ya nyota tatu za karibu zinazoitwa "ukanda" ambazo ni Alnitak, Alnilam na Mintaka (ζ, ε na δ Orionis). CChini ya nyota za ukanda kuna nyota angavu inayotambuliwa kwa darubini ndogo kuwa [[nebula]] angavu.
 
{| border="0" cellpadding="2" cellspacing="1" style="margin-left:0.5em; background:#CDC9C9;"