Jabari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 10:
==Nyota==
Jabari ni kati ya kundinyota zinazoonekana vema kwenye anga la usiku katika kusini na pia kaskazini ya Dunia. Nyota saba angavu sana zinakumbukwa kirahisi na watazamaji wa anga.
Nyota nne za [[Rijili ya Jabari]] (Rigel), [[Ibuti la Jauza]] (Betelgeuse), Bellatrix and Saiph zinafanya pembenne, na katikati kuna safu ya nyota tatu za karibu zinazoitwa "ukanda" ambazo ni Alnitak, Alnilam na Mintaka (ζ, ε na δ Orionis). CChiniChini ya nyota za ukanda kuna nyota angavu inayotambuliwa kwa darubini ndogo kuwa [[nebula]] angavu, hii ni [[Nebula ya Jabari]] (Orion nebula).
 
{| border="0" cellpadding="2" cellspacing="1" style="margin-left:0.5em; background:#CDC9C9;"