Mwatuko wa nyuklia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Nuclear fission.svg|thumb|Mwatuko nyuklia: Atomu ya <sup>235</sup>[[Urani]] inagongwa na nyutroni, inabadilishwa kuwa <sup>236</sup>Urani ambayo si thabiti, inapasuka kwa atomi mbili za [[Bari]] na [[Kriptoni]] na kuachisha nishati pamoja na nyutroni.]]
[[Picha:Kernspaltung.gif|thumb|Mfano wa mwatuko nyuklia: Atomu inagongwa na nyutroni; kiini kinapasuka na nyutroni za ziada pamoja na nishati hutoka]]
'''Mwatuko nyuklia'''<ref>"Mwatuko nyuklia" ni pendekezo la [[KAST]] 1995 kwa ajili ya "nuclear fission"</ref> kwa ([[Kiingereza]] [[:en:nuclear fission|nuclear fission]]) ni mchakato ndani ya [[atomu]] ambapo [[kiini cha atomu]] kinagawiwa kuwa vipande vidogo zaidi. Mchakato huo unaachisha [[nishati]] nyingi ukitumiwa katika [[tanuri nyuklia]] na pia kwakatika ajilimlipuko yawa [[silaha zaya nyuklia]].
 
Mwatuko nyuklia hutokea ama kama [[unururifu]] (kwa Kiingereza [[:en:radioactivity|radioactivity]]) au kama [[mmenyuko nyuklia]] ([[:en:nuclear reaction|nuclear reaction]]).