Dizeli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Kusahihisha
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
'''Dizeli''' ni [[fueli]] inayofaa kuendesha [[injini ya diseli]]. Kwa kawaida inapatikana kwa njia ya [[mvewevusho]] wa [[mafuta ya petroli]] lakini kuna pia fueli zenye tabia za dizeli zinazotengenezwa kwa kutumia mafuta kutokana na [[biomasi]] ya mimea au mbegu za mimea na hii ni aina ya [[biofueli]].
 
Jina la dizeli ni kumbukumbu ya mhandisi Mjerumani [[Rudolf Diesel]] aliyebuni injini maalumu.