Boya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Boya ni kifaa ambacho kipo kama puto ambalo hutumiwa na watu au mtu asiye weza kuogelea na pia boya humsaidia mtu huyo ili asiweze kuzama katika maji ya baharin...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 08:27, 20 Januari 2018

Boya ni kifaa ambacho kipo kama puto ambalo hutumiwa na watu au mtu asiye weza kuogelea na pia boya humsaidia mtu huyo ili asiweze kuzama katika maji ya baharini,mtoni,bwawani,na sehemu mbalimbali za kuogelea .Boya hujazwa upepo kwa kutumia pampu au kijazio chochote cha kujazia upepo !!!!..