Munyu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Munyu''' ni aina ya [[chumvi]] ambayo kwa [[jina]] lingine huitwa [[chumvi]] ya [[Meza (samani)|mezani]] kwa sababu hutumika sana kuleta [[ladha]] katika [[chakula]] na hutuongezea [[madini]] chumvi [[mwili]]ni.
 
Chumvi hii huwa na matumizi mengine mengi katika [[maisha]] ya kila siku, kwa mfano katika kuhifadhi vyakula mbalimbali, [[ngozi]] n.k.
Aina hii ya chumvi [[sayansi|kisayansi]] huitwa [[kloridi]] ya [[natiri]] (sodium chloride) na huwakilishwa na [[simboli]] [[NaCl]].
 
Aina hii ya chumvi [[sayansi|kisayansi]] huitwa [[kloridi]] ya [[natiri]] (sodium chloride) na huwakilishwa na [[simboli]] [[NaCl]].
Chumvi hii huwa na matumizi mengi sana katika [[maisha]] ya kila siku na hutuongezea [[madini]] chumvi [[mwili]].pia chumvi hii huweza kutumika kwa matumizi ya nyumbani katika vyakula na hutumika kwa sababu huleta ladha katika chakula pia chumvi hiyohiyo hutumika katika kuhifadhi vyakula mbalimbali ,ngozin.k
 
{{mbegu-kemia}}
 
[[Jamii:Kemia]]
[[Jamii:Chakula]]