Albert Claude : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 33 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q233943 (translate me)
+ picha
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Picha:Albert Claude 1974.jpg|thumb|Albert Claude]]
 
'''Albert Claude''' ([[24 Agosti]] [[1898]] – [[22 Mei]] [[1983]]) alikuwa daktari kutoka nchi ya [[Ubelgiji]], na pia alikuwa na uraia wa [[Marekani]] tangu 1941. Hasa alichunguza vipengele mbalimbali vya [[chembe hai]]. Mwaka wa [[1974]], pamoja na [[George Palade]] na [[Christian de Duve]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Tiba]]'''.