Cristiano Ronaldo : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
dNo edit summary |
ufuatiiaji ni muhimu sana Tags: Mobile edit Mobile web edit |
||
Mstari 1:
[[Picha:Argentine - Portugal - Cristiano Ronaldo.jpg|link=Picha:Argentine%20-%20Portugal%20-%20Cristiano%20Ronaldo.jpg|thumb|Cristiano Ronaldo akichezea timu yake ya taifa]]
Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro GOIH, ComM .( jina lake kwa maneno ya ya Kireno: [kɾiʃ'tjɐnu ʁunaɫdu]; alizaliwa Februari 5, 1985) ni mtaalamu wa soka wa Kireno nafasi yake ni ushambuliaji anacheza nchini [[Hispania ]]klabu ya [[Real Madrid]] na timu yake ya taifa ni [[Portugal]]. Mara nyingi huchukuliwa kuwa mchezaji bora duniani na kuonekana kuwa mojawapo ya mchezaji mzuri muda wote, Ronaldo ana tuzo
Alizaliwa na kukulia kwenye [[kisiwa]] cha Madeira, kilicho huko [[Ureno]], alipata ugonjwa wa moyo akiwa na umri wa miaka 15. Alipata operesheni ya kutibu hali yake, na kuanza kazi yake ya mpira wa miguu katik klabu ya [[Sporting CP]], kabla ya kusaini [[Manchester United]] akiwa na miaka 18 ndaniya mwaka 2003. Baada ya kushinda tuzo yake ya kwanza, Kombe la FA, wakati wa msimu wa kwanza huko [[Uingereza]], alisaidia Machester United kushinda makombe ya ligi kuu ya [[UEFA Champions League]] , na Kombe la Dunia la FIFA Club. Alipokuwa na umri wa miaka 22, alikuwa amepokea [[Ballon d'Or]] na uteuzi mchezaji bora wa mwaka wa FIFA alipo kuwa na umri wa miaka 23, alishinda mpira wake wa kwanza wa Ballon d'Or na tuzo ya FIFA World ya Mwaka. Mnamo mwaka 2009, Ronaldo alikuwa mchezaji aliye tumia gharama zaidi kutoka Manchester United kwenda Real Madrid kwa uhamisho wa thamani ya milioni (£ 80 milioni).
|