Tofauti kati ya marekesbisho "Milioni"

446 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
d (mbegu --> hisabati)
[[Image:Visualisation 1 million.svg|thumb|300px|Kutoka 1 hadi milioni 1 kwa kuzidisha mara kumikumi.]]
'''Milioni''' (1,000,000) au [[elfu]] elfu, ni [[namba]] ambayo inafuata 999,999 na kutangulia 1,000,001. Inaandikwa pia 10<sup>6</sup>.
 
Jina linatokana na lugha [[Kiitalia]] asili ambapo ''millione'' (''milione'' katika Kiitalia ya kisasa) lina mzizi katika neno ''mille'', "[[1000]]", likiongezea [[mnyambuliko]] ''-one'' unaodokeza [[ukubwa]].<ref>[http://dictionary.reference.com/browse/million million]. Dictionary.com Unabridged, Random House, Inc. Accessed 4 October 2010.</ref>
 
Kwa uwingi wa milioni kuna kawaida tofauti ya kuzitaja baada ya milioni 999 yaani kuanzia milioni elfu moja au 10<sup>9</sup>. Katika Afrika ya Mashariki wengi hufuata "skeli fupi" inayoita namba hii [[bilioni]] moja. Lakini katika vitabu vingi vya Kiingereza vya miaka iliyopita pamoja na lugha nyingi za Ulaya namba hii huitwa "miliardi" na bilioni ni 10<sup>12</sup>.
 
==Tazama pia==
*[[Bilioni]]
*[[Trilioni]]
 
==Tanbihi==