Milioni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Milioni''' (1,000,000) au [[elfu]] elfu, ni [[namba]] ambayo inafuata 999,999 na kutangulia 1,000,001. Inaandikwa pia 10<sup>6</sup>.
 
[[Jina]] linatokana na [[lugha]] ya [[Kiitalia]] asili ambapo ''millione'' (''milione'' katika Kiitalia yacha kisasa) lina [[mzizi]] katika [[neno]] ''mille'', "[[1000]]", likiongezea [[mnyambuliko]] ''-one'' unaodokeza [[ukubwa]].<ref>[http://dictionary.reference.com/browse/million million]. Dictionary.com Unabridged, Random House, Inc. Accessed 4 October 2010.</ref>
 
Kwa uwingiwingi wa milioni kuna kawaida tofauti ya kuzitaja baada ya milioni 999 yaani kuanzia milioni elfu moja au 10<sup>9</sup>. Katika [[Afrika ya Mashariki]] wengi hufuata "skeli fupi" inayoita namba hii [[bilioni]] moja. Lakini katika [[vitabu]] vingi vya [[Kiingereza]] vya miaka iliyopita, pamoja na lugha nyingi za [[Ulaya]] ,namba hii huitwa "miliardi" na bilioni ni 10<sup>12</sup>.
 
==Tazama pia==