Nyotamkia ya Halley : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Halleyev komet 1910.jpg|350px|thumb|Halley jinsi ilivyoonekana angani mwaka 1910 (bila darubini)]]
[[File:Lspn comet halley.jpg|thumb|right|350px|Nyotamkia ya Halley mnamo 8 Machi 1986 kwa darubini (safari iliyopita ilipofikia periheli na kuwa karibu na Dunia)]]
 
[[File:Comet Halley.jpg|thumb|right|350px|]]
'''Nyotamkia ya Halley''' (rasmi '''1P/Halley''', [[ing.]] ''[[:en:Halley's Comet|Halley's Comet]]'') ni moja kati ya [[nyotamkia]] zinazozunguka [[Jua]] letu. Kila baada ya miaka 75 au 76 inapita karibu na [[Dunia]] ikionekana vema kwa macho matupu hivyo ni mashuhuri. Itaonekana tena kwenye mwaka 2061.
 
Inazunguka Jua kwenye obiti yenye umbo la [[duaradufu]]. Wakati wa kuwa karibu na Jua (sehemu inayoitwa "[[afeli]]") inaonekana kwa muda wa wiki kadhaa kama nyota inayoota "mkia" yaani mstari angavu. Wakati inaenda mbali na Jua mkia huu unapotea tena na kwa jumla haionekani tena kwa macho matupu ikikaribia "[[afeli]]" au sehemu ya mbali na Jua.
 
==Jina na utambuzi==
Line 50 ⟶ 54:
== Marejeo ==
{{reflist}}
 
==Viungo vya Nje==
*[https://theskylive.com/halley-info Halley Info], tovuti ya theskylive, iliangaliwa Januari 2018
 
[[jamii:Nyota]]