Nyotamkia ya Halley : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 9:
Jina limeteuliwa kwa [[heshima]] ya [[mwanaastronomia]] [[Mwingereza]] [[Edmund Halley]] aliyetambua ya kwamba nyotamkia aliyotazama kwenye [[mwaka]] [[1705]] ilikuwa ileile iliyowahi kutazamwa tayari. Halley alipoiona [[Anga|angani]] na kupima [[mwendo]] wake alitambua ya kwamba ilikuwa nyotamkia ileile iliyowahi kutazamwa katika miaka [[1682]] (na Arnold), [[1607]] (na [[Johannes Kepler]]) na [[1531]] (na [[Petrus Apianus]]). Kwa hiyo alitabiri kurudi kwake mnamo [[1758]]. Kweli ilionekana tena tarehe [[25 Desemba]] 1758, miaka 16 baada ya [[kifo]] cha Halley. Katika mwaka uliofuata [[Mfaransa]] [[Nicolas Louis de Lacaille]] aliiorodhesha kama "''comète de Halley''".
 
Katika utaratibu wa [[UnojaUmoja wa Kimataifa wa Astronomia]] ilipokea jina la '''1P/Halley'''. [[Namba]] '''1''' inataja nafasi yake ya kuwa nyotamkia ya kwanza iliyotambuliwa [[sayansi|kisayansi]], [[herufi]] '''P''' (ing. "''periodic''") inamaanisha ni nyotamkia inayorudi katika muda usiozidi miaka 200, '''Halley''' ni jina la mtambuzi. Nyotamkia zote zilizothibitishwa kuwa na [[obiti]] ya kurudia zimepokea namba pamoja na herufi P na jina la mtambuzi.
 
== Mipito ya Nyotamkia wa Halley kwenye Periheli iliyorepotiwa==