Sinodi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Sinodi''' (kwa [[Kiingereza]] "synod", kutoka [[Neno|maneno]] ya [[Kigiriki]] σύν, syun, "pamoja" na οδοςόδος, odos, "njia" (= syunodos), yaani kufuata "njia ya pamoja", kwa hiyo "mkusanyiko" au "mkutano") ni [[mkutano]] wa [[Kanisa]] la [[Kikristo]] ambao huunganisha wawakilishi kutoka sehemu mbalimbali za Kanisa au eneo maalumu ndani ya Kanisa kama sinodi.
 
Kiasili sinodi ilikuwa mkutano wa ma[[askofu]] wa eneo fulani.
Mstari 5:
Wakati mwingine neno "[[mtaguso]]" hutumiwa kwa kutaja [[sinodi ya maaskofu]] wote, kwa mfano [[mtaguso mkuu]] ni mkutano wa maaskofu wote wa [[Kanisa Katoliki]] [[duniani]].
 
Mara nyingi mkutano mkuu wa [[dayosisi]] au wa [[jimbo]] la Kanisa huitwa pia "sinodi".
 
Katika [[madhehebu]] ya [[uprotestanti|Kiprotestanti]] sinodi hujumlisha [[wachungaji]] pamoja na [[walei]].
 
[[Wapresbiteri]] hutumia neno "sinodi" kwa ajili ya mikoa yao ikitawaliwa na sinodi, yaani mkutano wa wajumbe kutoka [[Usharika|shirika]] mbalimbali.
 
==Viungo vya nje==
Mstari 23:
{{mbegu-Ukristo}}
 
[[Jamii:UkristoSheria za Kanisa]]
[[Jamii:Historia ya Kanisa]]