Enzi ya kati : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 1:
[[Image:St Michaels Church Hildesheim.jpg|thumb|300px|Kanisa la Mt. Michael mjini [[Hildesheim]] ([[Ujerumani]]) ni mfano bora wa usanifu wa enzi ya kati]]
'''Enzi ya Kati''' (pia: [[Zama za Kati]])
[[Historia ya Ulaya]] hugawanywa mara nyingi katika vipindi vitatu vya [[Enzi ya Kale]], [[Enzi ya Kati]] na [[Enzi ya Kisasa]]. Hata kama ugawaji
==Mwanzo wa kipindi cha Enzi ya Kati==
Kabla ya Enzi ya Kati kulikuwa na [[ustaarabu]] wa Dola la Roma. [[Milki]]
Katika eneo hili kubwa palikuwa na [[uchumi]] ulioendelea na njia za [[mawasiliano]] kama [[barabara]], [[bandari]] na hata aina ya [[posta]].
Ustaarabu huu uliporomoka pamoja na matatizo ya kiuchumi, gharama kubwa kwa jeshi na mashambulio ya makabila ya nje hasa ya Wagermanik yaliyoweza kuingia ndani ya Dola la Roma bila kulingana na utamaduni wa ustaarabu huo. Roma ilishindwa kutunza utaratibu wake mbele ya mashambulio na [[uhamisho mkuu wa Ulaya]]. ▼
Ustaarabu huo ulikuwa na [[idadi]] ya watu waliojua kusoma na kuandika. [[Lugha]] za pamoja kama [[Kilatini]] na [[Kigiriki]] zilieleweka na [[asilimia]] fulani ya watu kote katika [[dola]] hili. Hata kama watu wengi, hasa watu wa [[Kijiji|vijijini]] na [[watumwa]], hawakujua kusoma bado walikuwepo watu waliojua kila sehemu ya dola.
▲Ustaarabu
==Viungo vya Nje==▼
*[http://sd71.bc.ca/sd71/school/courtmid/Library/subject_resources/socials/middleagesframe.htm Student resources]
Line 18 ⟶ 20:
[[Category:Enzi za Kati| ]]
[[category:Vipindi vya kihistoria]]
|