Enzi ya kati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:St Michaels Church Hildesheim.jpg|thumb|300px|Kanisa la Mt. MichaelMikaeli [[Mji|mjini]] [[Hildesheim]] ([[Ujerumani]]) ni mfano bora wa [[usanifu majengo]] wa enziEnzi ya kati.]]
[[Picha:Caen Chato cheminronde.jpg|200px|right|thumb]]
'''Enzi ya Kati''' (pia: [[Zama za Kati]]) ni kipindi cha [[historia]] ya [[Ulaya]] kati ya mwisho wa [[Dola la Roma]] mnamo mwaka [[500]] na [[urekebisho]] wa [[Kanisa]] mnamo mwaka [[1500]].
'''Enzi ya Kati''' (pia: [[Zama za Kati]]; kwa [[Kiingereza]]: "Middle Ages", pia "mediaevo" au "medievo") ni kipindi cha katikati cha [[historia]] ya [[Ulaya]] katika mgawanyo wa “zama” tatu: ustaarabu wa
* [[Zama za Kale]],
* Zama za Kati, na
* [[Wakati wa Kisasa]].
 
[[Historia ya Ulaya]] hugawanywa mara nyingi katika vipindi vitatu vya [[Enzi ya Kale]], [[Enzi ya Kati]] na [[Enzi ya Kisasa]]. Hata kama ugawaji huo umetokana na [[mazingira]] ya Ulaya tu, hutumiwa pia kwa maeneo mengine ya [[dunia]]. [[Wataalamu]] wengi huamini ya kwamba haufai sana kidunia lakini hadi sasa hakuna mpangilio mwingine kwa dunia yote unaoeleweka kirahisi hivi.
 
Kwa kawaida, Zama za Kati za Ulaya Magharibi huhesabiwa toka mwisho wa [[Dola la Roma Magharibi]] ([[karne ya 5]]) hadi kuanza kwa falme za kitaifa, mwanzo wa [[uvumbuzi]] wa ng’ambo ya Ulaya, kipindi cha [[mwamko-sanaa]], na [[Matengenezo ya Kiprotestanti|Matengenezo]] ya [[Waprotestanti]] kuanzia mwaka [[1517]].
 
Mabadiliko hayo yalionesha mwanzo wa kipindi cha Zama za Kisasa ambacho kilitangulia [[mapinduzi ya viwanda]].
 
==Mwanzo wa kipindi cha Enzi ya Kati==