Anselm wa Canterbury : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya Phso2 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
Tengua pitio 1023297 lililoandikwa : this Candia thing is a hoax and doesn't appear anymore on the original article from which this one was translated. Please check the sources.
Tag: Undo
Mstari 16:
Anselm alizaliwa mwaka 1033 au 1034 mjini Aosta<ref name="Walsh, Michael 1991 pp. 117">Walsh, Michael, ed. ''Butler's Lives of the Saints.'' (HarperCollins Publishers: New York, 1991), pp. 117</ref> au karibu nao <ref name="Charlesworth, M. J. 2003 pp. 9">Charlesworth, M. J., trans. and ed. ''St. Anselm's Proslogion.'' (University of Notre Dame Press: Notre Dame, 2003), pp. 9.</ref> [[Aosta]] katika ufalme wa [[Burgundy]] (leo katika mkoa wa [[Valle d'Aosta]], inapotumika lugha ya [[Kifaransa]] nchini Italia).<ref name="Walsh, Michael 1991 pp. 117" /> Familia yake ilikuwa tajiri na ya kisharifu na upande wa mama ilihusiana na watawala wa [[Savoy]]<ref>R. Southern. ''St. Anselm: Portrait in a Landscape.'' (Cambridge University Press: 1992), pp. 8. http://books.google.com/books?hl=en&lr=&id=lxf-LvQvvwIC&oi=fnd&pg=PR15&dq=anselm+of+canterbury+r-southern&ots=e6-_fZ6v0B&sig=3rOwM0tvC4VVInlSWl099J0dyjE#PPA8,M1</ref>.
 
Baba yake, [[Gundulf de Candia]], mwenye asili ya [[Kilombardi]], alikuwa mkali na kutapanya [[mali]] kwa [[anasa]], tofauti na mama, [[Ermenberga wa Geneva]] aliyekuwa na [[maadili]] mema ya [[dini]]. Ndiye aliyeshughulikia [[malezi]] ya kwanza ya Anselm, [[kifungua mimba]], halafu akamkabidhi kwa Wabenedikto wa Aosta.
 
Kufuatana na [[ndoto]] aliyoipata, Anselm alijisikia kuitwa na Mungu kwa kazi muhimu na alipofikia umri wa miaka 15, alitamani kuingia monasteri, lakini hakuruhusiwa kabisa na baba yake.<ref name="Walsh, Michael 1991 pp. 117" /> Jambo hilo lilimfanya augue; lakini alipokuwa [[mahututi]] na kuomba kuvikwa [[kanzu]] ya Kibenedikto kama [[faraja]] ya mwisho, baba alimkatalia tena. Kisha kupona na kufiwa mama yake aliacha masomo na kuishi kistarehe tu.