Chombo cha angani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{lugha}}
[[Picha:Atlantis-MIR-GPN-2000-001071.jpg|250px|thumbnail|Feri ya anga Atlantis ikiondokakwenye kituo cha anga MIR tarehe 4 July 1995]]
'''Chombo cha angani''' ni chombo kwa ajili ya usafiri katika [[anga ala nje]] ya dunia yetu. Vyombo vya anga viko kwa kazi nyingi pamoja na mawasiliano, kubeba vifaa vya kutazama na dunia au hali ya hewa, kufanyia utafiti [[sayari]] nyingine au kusafirisha watu na mizigo.
 
Vyombo vingine vinaingia kwa muda mfupi tu juu ya angahewa bila kumaliza mzingo wa dunia. Vingine vinazunguka kwenye mzingo kwa muda mrefu hata miaka.
Mstari 11:
Marekani iliendelea kuandaa safari ya kufika mwezini na kuwafikisha wanaanga [[Neil Armstrong]] na [[Buzz Aldrin]] mwezini tarehe 20 Julai 1969 kwa kutumia chombo cha [[Apollo 11]].
 
Ilhali maandalizi ya safari za kupeleka watu kwenye anga la nje ni ghali sana bila kuleta faida kubwa kiuchumi au kisayansi kuna mamia vya vyombo vya anga vinavyozunguka dunia na kutekeleza kazi muhimu. Hivi huitwa pia [[satelaiti]] zikifuata mwendo wa kudumu wa kuzunguka dunia au kukaa mahali pamoja angani juu ya uso wa dunia. Utabiri wa hali ya hewa hutegemea data na picha kutoka vyomboanga. Sehemu ya majadiliano kwa simu na sehemu kubwa ya picha za televisheni hupita satelaiti, vilevile data za teknolojia kama [[GPS]].
 
Vyomboanga vingine kama [[vipimaanga]] vinapewa kazi ya upelelezi angani hasa kukaribia sayari, kukusanya data zao na kuzituma duniani. Habari nyingi juu ya sayari za [[mfumo wa jua letu]] zimepatikana kutokana na upimaji uliotekelezwa na vyomboangavipimaanga hivi.
 
<!-- interwiki -->