Chombo cha angani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{lugha}}
[[Picha:Atlantis-MIR-GPN-2000-001071.jpg|250px|thumbnail|Feri ya anga Atlantis ikiondokakwenyeikiondoka kwenye kituo cha anga MIR tarehe 4 July 1995.]]
'''Chombo cha angani''' ni [[chombo cha usafiri|chombo kwa ajili ya usafirikusafiri]] katika [[anga la nje]] ya dunia yetu. Vyombo vya anga viko kwa kazi nyingi pamoja na mawasiliano, kubeba vifaa vya kutazama na dunia au hali ya hewa, kufanyia utafiti [[sayaridunia]] nyingineyetu. au kusafirisha watu na mizigo.
 
Vyombo vya anga vinaundwa kwa [[kazi]] nyingi pamoja na [[mawasiliano]], kubeba vifaa vya kutazama dunia au [[hali ya hewa]], kufanyia [[utafiti]] [[sayari]] nyingine au kusafirisha [[watu]] na mizigo.
Vyombo vingine vinaingia kwa muda mfupi tu juu ya angahewa bila kumaliza mzingo wa dunia. Vingine vinazunguka kwenye mzingo kwa muda mrefu hata miaka.
 
Vyombo vingine vinaingia kwa [[muda]] mfupi tu juu ya [[angahewa]] bila kumaliza [[mzingo]] wa dunia. Vingine vinazunguka kwenye mzingo kwa muda mrefu hata miaka.
Chombo cha angani cha kwanza kilikuwa [[Sputnik 1]] kilichorushwa na [[Umoja wa Kisovyeti]] mwaka 1957 na kuzunguka dunia kwa miezi 3. Kilifuatwa na chombo cha kimarekani [[Explorer 1]] katika mwaka ufuatao.
 
Chombo cha angani cha kwanza kilikuwa [[Sputnik 1]] kilichorushwa na [[Umoja wa Kisovyeti]] mwaka [[1957]] na kuzunguka dunia kwa miezi 3. Kilifuatwa na chombo cha kimarekani[[Marekani]] [[Explorer 1]] katika mwaka ufuatao[[1958]].
Mtu wa kwanza kwenye anga la nje alikuwa Mrusi [[Yuri Gagarin]] aliyerushwa na Umoja wa Kisovyeti kwa chombo cha [[Vostok 1]] tarehe 12 Aprili 1961 na kumaliza mzingo mmoja wa dunia. Marekani ilifuata 5 Mei 1961 kwa kumpeleka mwanaanga [[Alan Shepard]] nje ya angahewa lakini bila kumaliza mzingo kamili. Februari 1963 Mmarekani [[John Glenn]] alifaulu kutimiza mizingo 3 ya dunia.
 
Mtu wa kwanza kwenye anga la nje alikuwa [[Mrusi]] [[Yuri Gagarin]] aliyerushwa na Umoja wa Kisovyeti kwa chombo cha [[Vostok 1]] [[tarehe]] [[12 Aprili]] [[1961]] na kumaliza mzingo mmoja wa dunia. Marekani ilifuata 5 Mei 1961 kwa kumpeleka mwanaanga [[Alan Shepard]] nje ya angahewa lakini bila kumaliza mzingo kamili. Februari 1963 Mmarekani [[John Glenn]] alifaulu kutimiza mizingo 3 ya dunia.
Marekani iliendelea kuandaa safari ya kufika mwezini na kuwafikisha wanaanga [[Neil Armstrong]] na [[Buzz Aldrin]] mwezini tarehe 20 Julai 1969 kwa kutumia chombo cha [[Apollo 11]].
 
Marekani ilifuata tarehe [[5 Mei]] 1961 kwa kumpeleka [[mwanaanga]] [[Alan Shepard]] nje ya angahewa lakini bila kumaliza mzingo kamili. Mnamo [[Februari]] [[1963]] [[Mmarekani]] [[John Glenn]] alifaulu kutimiza mizingo 3 ya dunia.
Ilhali maandalizi ya safari za kupeleka watu kwenye anga la nje ni ghali sana bila kuleta faida kubwa kiuchumi au kisayansi kuna mamia vya vyombo vya anga vinavyozunguka dunia na kutekeleza kazi muhimu. Hivi huitwa pia [[satelaiti]] zikifuata mwendo wa kudumu wa kuzunguka dunia au kukaa mahali pamoja angani juu ya uso wa dunia. Utabiri wa hali ya hewa hutegemea data na picha kutoka vyomboanga. Sehemu ya majadiliano kwa simu na sehemu kubwa ya picha za televisheni hupita satelaiti, vilevile data za teknolojia kama [[GPS]].
 
Marekani iliendelea kuandaa [[safari]] ya kufika [[Mwezi (gimba la angani)|mwezini]] na kuwafikisha wanaanga [[Neil Armstrong]] na [[Buzz Aldrin]] mwezini tarehe [[20 Julai]] [[1969]] kwa kutumia chombo cha [[Apollo 11]].
Vyomboanga vingine kama [[vipimaanga]] vinapewa kazi ya upelelezi angani hasa kukaribia sayari, kukusanya data zao na kuzituma duniani. Habari nyingi juu ya sayari za [[mfumo wa jua letu]] zimepatikana kutokana na upimaji uliotekelezwa na vipimaanga hivi.
 
Ilhali maandalizi ya safari za kupeleka watu kwenye anga la nje ni ghali sana bila kuleta [[faida]] kubwa [[Uchumi|kiuchumi]] au [[Sayansi|kisayansi]] kuna mamia vya vyombo vya anga vinavyozunguka dunia na kutekeleza kazi muhimu. Hivi huitwa pia [[satelaiti]] zikifuata mwendo wa kudumu wa kuzunguka dunia au kukaa mahali pamoja angani juu ya [[uso]] wa dunia. [[Utabiri]] wa [[hali ya hewa]] hutegemea [[data]] na [[picha]] kutoka vyomboanga. Sehemu ya [[majadiliano]] kwa [[simu]] na sehemu kubwa ya picha za [[televisheni]] hupita satelaiti, vilevile data za [[teknolojia]] kama [[GPS]].
<!-- interwiki -->
 
Vyomboanga vingine kama [[vipimaanga]] vinapewa kazi ya [[upelelezi]] angani hasa kukaribia [[sayari]], kukusanya data zao na kuzituma duniani. Habari nyingi juu ya sayari za [[mfumo wa jua letu]] zimepatikana kutokana na [[upimaji]] uliotekelezwa na vipimaanga hivi.
 
[[Category:Usafiri wa angani| ]]