The Lion Guard : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''The Lion Guard''' ni mfululizo wa televisheni ya Marekani uliotengenezwa na Ford Riley kulingana na filamu ya Disney ya 1994 The Lion K...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 11:57, 29 Januari 2018

The Lion Guard ni mfululizo wa televisheni ya Marekani uliotengenezwa na Ford Riley kulingana na filamu ya Disney ya 1994 The Lion King. Mfululizo huo ulitangazwa kwanza na movie ya televisheni, inayoitwa The Lion Guard: The Return of the Roar kwenye Disney Channel mnamo Novemba 22, 2015.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu The Lion Guard kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.