Mbinu ya rediokaboni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Mbinu ya rediokaboni''' (pia: '''mbinu ya <sup>14</sup>C''':; kwa [[Kiingereza]]: ''radiocarbon dating'', ''carbon-14 dating'') ni [[njia]] ya [[sayansi|kisayansi]] ya kutambua [[umri]] wa [[mata ogania]].
 
Msingi wa mbinu hii ni uwepo wa [[kaboni]] katika kila kiumbe; na kupungua kwa [[idadi]] ya [[isotopi]] za kaboni aina za <sup>14</sup>C kwa sababu idadi za [[atomi nururifu]] inapungua kadiri ya [[mbunguo nyuklia]]. Kutokana na [[asilimia]] za kaboni nururifu ya <sup>14</sup>C iliyobaki katika mata ogania inawezekana kukadiria umri wake.
Mstari 43:
==Marejeo==
{{reflist}}
 
{{mbegu-sayansi}}
 
[[Category:Akiolojia]]