Raila Odinga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d ondoa <nowiki> ya kiungo cha Kenya
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 4:
== Utoto na familia ==
Alizaliwa 1945 katika familia ya [[Waluo]] akiwa mtoto wa chifu [[Jaramogi Oginga Odinga]] aliyekuwa makamu wa rais wa kwanza nchini Kenya. Baba yake alikuwa kiongozi mkuu wa Waluo akatazamiwa baadaye kama mpinzani mkuu wa rais wa kwanza [[Jomo Kenyatta]].
Kaka yake President Raila Odinga, Oburu Odinga amekuwa mwanasiasa na mbunge vilevile.
 
Raila amemwoa Ida Betty Odinga na wana watoto wanne: Fidel, Rosemary, Raila jr. na Winnie.