Taya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 12:
[[Picha:Bullant head detail.jpg|thumbnail|Mataya ya kando ya sisimizi]]
Kwenye [[arithropodi]] kama [[wadudu]] mataya yako kando ya kinywa na yamejengwa kwa [[chitini]]. Yanashika chakula pia wanyama wadogo wengine wanaowindwa na kukipasua.
 
Shida za taya
 
Shida zinazokuba taya ni kama jaw pain ambapo unapatwa na maumivu kwa mataya. Hili laweza kuwa limesababishwa na: ajali uliyopata na taya zako zikaumizwa, sinuses au mshtuko wa moyo(heart attack). Pia misuli inayoshikilia taya yaweza kuwa imeumia.
 
Kuna watu pia huzaliwa na taya zisizo laini. Endapo unapatwa na shida za taya kama vile kutokuwa laini basi waweza kumuuliza daktari wako wa meno akuweke [[:en:Dental_braces|dental braces]]. Braces meno ni vifaa vya chuma vinavyofungamishwa na kushikisha meno ili mtu aweze kuuma vitu au hata taya zake zinyooke.
 
{{mbegu-anatomia}}