Mguu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 4:
 
[[Binadamu]] huwa na miguu miwili na anaitumia kwa kutembea amesimama wima. [[Wanyama]] wengi wana miguu minne na kuitumia yote pamoja kwa kutembea.
 
Shida za miguu
 
Kati ya shida zilizo za kawaida kwa miguu ya binadamu ni kama kuibuka vidonda vya fungi, gout, maumivu kwa kuvalia viatu vinavyobana, kuubuka ngozi na miguu kuwa kombo haswa unapopata ajali. Shida hizi zafaa ziangaliwe kadri zinapochipuka. Wafaa pia uvalie viatu visivyobana na kama miguu ii kombo uvalie [https://floralbeautyspot.com/best-arch-braces-and-sleeves/ arch braces]
 
== Viungo vya Nje ==
[https://www.everydayhealth.com/foot-health-pictures/common-foot-problems. https://www.everydayhealth.com/foot-health-pictures/common-foot-problems]
 
{{mbegu-anatomia}}
[[jamii:Mguu]]