Nyuki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Masahihisho
Sahihisho
Mstari 36:
* Malkia wa nyuki ni mama wa nyuki wote ndani ya kundi na kazi yake ni kutaga mayai pekee
* Nyuki wafanyakazi ni wakazi wengi wa mzinga na wote ni wa kike. Ni hao wanaofanya kazi yote kama vile kukusanya mbelewele na mbochi, kusafisha mzinga, kutengeneza nta, kujenga sega, kuwalisha malkia na majana, kulinda mzinga
* Nyuki dumewa kiume au [[mdudume|wadudume]] ni wachache na kazi yao ya pekee ni kumpanda malkia ambaye si yule wa mzinga wake kwa kawaida; baadaye wanafukuzwa kwenye mzinga na hawapewi chakula tena.
* Ni jinsi gani nyuki wanaweza kutambuana katika kundi? Kwa kawaida nyuki huwa wanaishi kifamilia, familia moja haiwezi kwenda kwenye familia nyingine. Kwa nini hawawezi? Hawawezi kwa sababu nyuki hutambuana kwa kutumia [[harufu]] itokanayo na [[malkia]]. Kila malkia huwa na harufu yake, kwa hiyo kundi moja haliwezi kwenda kwenye kundi jingine kwa sababu hayafanani harufu. Ikitokea nyuki mmoja amepotea na akaingia kwenye kundi jingine, wale nyuki vibarua watakachokifanya ni kumuangalia kuwa kaja na nini. Kama amebeba chakula, watamuacha aweke chakula kisha wataamua kumuua au wamuache aondoke. Mara nyingi huwa wanamuua tu!
* Nyuki wanapeperusha mabawa yao ili kutoa maji kwenye nekta na kusambaza harufu za mawasiliano. Huyu nyuki mtenda kazi anatoa harufu kutoka kwa mfuko wake wa ndani ili kuvutia wenzake kuungana naye. Hawa nyuki wafanyakazi wanakula kwa pamoja na kushirikishana harufu spesheli kutoka kwa malkia.