Mtemi Mirambo : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 1:
[[image:Mirambo mnamo 1880.
'''Mtemi Mirambo''' ([[1840]]-[[1884]]) alikuwa [[
[[Jina]] lake la awali lilikuwa "
Mirambo
Alitumia sehemu kubwa ya [[utajiri]] wake kujenga [[jeshi]] la binafsi. Kwa kusudi hilo alinunua [[bunduki]] aina ya [[gobori]] na kukusanya [[vijana]] wengi walioitwa "rugaruga". [[Rugaruga]] hao walihofiwa kote. Inasemekana ya kwamba kabla ya mapigano walipewa [[pombe]] na [[bangi]] kwa kusudi la kuongeza ukatili na kupunguza [[hofu]] yao ya kifo.
|