DNA : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza jina la Kiswahili
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:DNA orbit animated small.gif|thumb|right|Mfano wa mfumo wa DNA.]]
'''DNA''' ni kifupi[[kifupisho]] cha '''[[w:Deoxyribonucleic acid|DeoxyriboNucleic Acid]]''' ambayo ni [[jina]] la [[Kiingereza]] la [[molekuli]] kubwa ndani ya [[seli]] za [[viumbehai]] vyotewote. Kwa [[Kiswahili]] huitwa '''Asidi DeoksiriboNukleini''' ([[ADN]] kwa kifupi) au '''Asidi Kiinideoksiribo'''<ref>[[Kamusi Sanifu ya Biolojia, Fizikia na Kemia]] iliyotolewa na [[TUKI]] inaandika "asidi kiinidioksiribo". Inapendekezwa kutumia -deoksi- badala ya -dioksi- kwa sababu [[kiambishi]] de- inamaanisha "bila" (bila oksijeni) ilhali di- inamaanisha "[[mbili]]".</ref>.
 
[[Mnyama|Wanyama]], [[mmea|mimea]], [[bakteria]] na [[virusi]] zotevilevile, wote zinawana DNA. Molekuli hii inabeba ndani yake habari zote za [[urithi]] wa kiumbehai husika, yaani habari za [[tabia]] zote zinazopokelewa kutoka kwa [[wazazi]]. KwenyeMwenye DNA zikozimo [[jeni]] zinazotunza habari maalumu juu ya urithi wa kiumbe.
 
Molekuli ya DNA ina [[umbo]] kama [[ngazi]] mbili za kupanda zilizounganishwa pamoja na kupindwakupindika kama [[sukurubu]]. Kila ngazi ni [[nukleotidi]] ambayo ni muungo wa [[sukari]] fulani pamoja na [[moja]] kati ya [[besi]] ogania [[nne]]. Ufutano wa besi hizihizo unaamua namna ganiya kujengakutengeneza [[protini]] wakati wa kujenga seli mpya.
 
DNA ina uwezo wa kujinakili. Wakati wa kuzaa DNA inajipasua katikati ya pande mbili za "ngazi" yake. Hivyo [[nusu]] "ngazi" ya upande wa [[mzazi]] mmoja inaungana na nusu "ngazi" ya mzazi mwingine.
 
Tabia kama [[ukubwa]], [[rangi]] ya [[ngozi]] au [[nywele]] ziko kila moja mahali pake; zikiunganishwa za [[baba]] na [[mama]], [[kemia]] inaamua ni upande gani wenye [[athira]] zaidi na hivyo utajitokeza kwa [[mtoto]].
 
DNA inatokea hasa ndani ya [[kromosomu]] kwenye [[kiini cha seli]].
 
== Viungo vya Nje ==
* http://www.ornl.gov/sci/techresources/Human_Genome/project/info.shtml
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
== Viungo vya Nje ==
* http://www.ornl.gov/sci/techresources/Human_Genome/project/info.shtml
 
[[Jamii:Jenetikia]]