Taya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Human jawbone left.jpg|thumbnail|right|Taya ya chini ya binadamu.]]
'''Taya''' ni sehemu ya muundo wa [[kinywa]] wa [[wanyama]] wengi. wenyeKazi kaziyake yani kushika na kuhamisha [[chakula]] mara nyingi pamoja na kukikatakata.
 
==Mataya ya vertebrata==
Kwenye [[vertebrata]] (au wanyama wenye [[uti wa mgongo]]) mataya yanajengwa kwa [[mfupa]] au [[gegedu]] na kupatikana kwa [[jozi]], yaani taya la chini na taya la juu. Kwa [[spishi]] nyingi huwa na [[meno]].
 
Kwenye wanyama wenye [[miguu]] minne mifupa ya taya la juu imeunganishwa na mifupa ya [[fuvu]] ya [[ubongo]]. Taya la chini linaunganishwa kwa njia mbalimbali na taya la juu. [[Nyoka]] zinaweza kuachana mataya yote mawili kabisa na hivyo kumeza hata windo kubwa sana.
Mstari 10:
 
==Mataya ya arithropodi==
[[Picha:Bullant head detail.jpg|thumbnail|Mataya ya kando ya sisimizi.]]
Kwenye [[arithropodi]] kama [[wadudu]] mataya yako kando ya kinywa na yamejengwa kwa [[chitini]]. Yanashika chakula, pia wanyama wadogo wengine wanaowindwa na kukipasua.
 
==Shida za taya ==
Shida zinazokubazinazokumba taya ni kama jaw pain ambapo unapatwa na [[maumivu]] kwa mataya. Hili laweza kuwa limesababishwa na: [[ajali]] uliyopata na taya zako zikaumizwa, sinuses au [[mshtuko wa moyo]] (heart attack). Pia [[misuli]] inayoshikilia taya yaweza kuwa imeumia.
 
Kuna watu pia huzaliwa na taya zisizo laini. Endapo unapatwa na shida za taya kama vile kutokuwa laini basi waweza kumuuliza [[daktari wako wa meno akuweke [[:en:Dental_braces|dental braces]]. Braces meno niakuwekee vifaa vya chuma vinavyofungamishwa na kushikisha meno ili mtu aweze kuuma vitu au hata taya zake zinyooke (kwa Kiingereza: [[:en:Dental_braces|dental braces]]).
Shida zinazokuba taya ni kama jaw pain ambapo unapatwa na maumivu kwa mataya. Hili laweza kuwa limesababishwa na: ajali uliyopata na taya zako zikaumizwa, sinuses au mshtuko wa moyo(heart attack). Pia misuli inayoshikilia taya yaweza kuwa imeumia.
 
Kuna watu pia huzaliwa na taya zisizo laini. Endapo unapatwa na shida za taya kama vile kutokuwa laini basi waweza kumuuliza daktari wako wa meno akuweke [[:en:Dental_braces|dental braces]]. Braces meno ni vifaa vya chuma vinavyofungamishwa na kushikisha meno ili mtu aweze kuuma vitu au hata taya zake zinyooke.
 
{{mbegu-anatomia}}
 
[[jamii:kiunzi]]
[[Jamii:Kinywa]]