Afrika ya Mashariki ya Kijerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 119:
 
1. [[Mkoa wa Tanga (DOA)|Tanga (DOA)]] </br>
2. [[Mkoa wa Pangani (DOA)|Pangani (DOA)]] pamoja na ofisi ndogo Handeni</br>
3. [[Mkoa wa Bagamoyo (DOA)|Bagamoyo (DOA)]] pamoja na ofisi ndogo Saadani</br>
4. Daressalam pamoja na ofisi ndogo ya polisi Kisangire</br>
5. [[Mkoa wa Rufiji (DOA)|Rufiji (DOA)]], makao makuu Utete</br>
6. [[Mkoa wa Kilwa (DOA)|Kilwa (DOA)]] pamoja na ofisi ndogo za Kilindoni, Kibata na [[Liwale]]</br>
7. [[Mkoa wa Lindi (DOA)|Lindi (DOA)]] pamoja na ofisi ndogo za [[Mikindani]], [[Newala]] und [[Tunduru]]</br>
8. [[Mkoa wa Langenburg (DOA)|Langenburg (DOA)]] (Tukuyu) pamoja na ofisi ndogo Itaka na Mwakete na kituo cha polisi Muaja</br>
9. [[Mkoa wa Wilhelmstal (DOA)|Wilhelmstal (DOA)]] (Lushoto)</br>
10. [[Mkoa wa Morogoro (DOA)|Morogoro (DOA)]] pamoja na ofisi ndogo za Kilossa na Kissaki</br>
11. [[Mkoa wa Songea (DOA)|Songea (DOA)]] pamoja na ofisi ndogo Wiedhafen</br>
12. [[Mkoa wa Moshi (DOA)|Moshi (DOA)]]</br>
13. [[Mkoa wa Arusha (DOA)|Arusha (DOA)]] pamoja na ofisi ndogo Umbulu</br>
14. [[Mkoa wa Kondoa-Irangi (DOA)|Kondoa-Irangi (DOA)]] pamoja na ofisi ndogo Mkalama</br>
15. [[Mkoa wa Dodoma (DOA)|Dodoma (DOA)]] pamoja na kituo cha polisi Mpapwa na kituo cha kijeshi Singida</br>
16. [[Mkoa wa Mwanza (DOA)|Mwanza (DOA)]] pamoja na ofisi ndogo Shirati na kituo cha kijeshi Ikoma</br>
17. [[Mkoa wa Tabora (DOA)|Tabora (DOA)]] pamoja na ofisi ndogo za Shinyanga na Ushirombo</br>
18. [[Mkoa wa Ujiji (DOA)|Ujiji (DOA)]] pamoja na kituo cha kijeshi Kasulo</br>
19. [[Mkoa wa Bismarckburg (DOA)|Bismarckburg (DOA)]] (Kasanga (Ufipa)</br>
 
 
Mikoa ya kijeshi (jer. ''Militärbezirke'') chini ya usimamizi wa maafisa wa Kijerumani wa kijeshi:
 
21. [[Iringa (DOA)]] pamoja na kituo cha kijeshi Ubena </br>
22. [[Mahenge (DOA)]]</br>
 
[[Maeneo lindwa]] (jer. ''Residentur'') chini ya watawala wenyeji waliopaswa kufuata ushauri wa afisa mkazi Mjerumani (jer. ''Resident''):