Oskar Baumann : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|300px|Oskar Baumann file:Plan der Stadt Sansibar - Map of Zanzibar - Oscar Baumann.jpg|thumb|400px|Ramani ya mji wa Zanzibar...'
 
Mstari 7:
 
==Safari za uchunguzi==
Matokeo mazuri yalimpatia nafasi katika safari ya upelelezi wa [[Kongo (mto)|beseni ya Kongo]] iliyotumwa na shirika la jiografia la Austria mwaka 1885 alipofaulu kuchora ramani halisi za kwanza za [[mto Kongo]].
 
1886 Baumann alitembelea kisiwa cha [[Bioko|Fernando Poo]] na kuchunguza jiografia na utamaduni wa wakazi wake. Baada ya kurudi Ulaya alitumia uchunguzi wake kwa kuandika tasnifu iliyompatia [[Uzamivu|shahada ya uzamivu]] (PhD) ya Chuo Kikuu cha Leipzig (Ujerumani).