Nyalikungu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Bot: Replacements: fix URL prefix
No edit summary
Mstari 18:
 
}}
'''Nyalikungu''' ni kata ya [[Wilaya ya Maswa]] katika [[Mkoa wa Simiyu]], [[Tanzania]] yenye [[postikodi]] [[namba]] '''39319''' <ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/tzPostcodeList.pdf</ref> na pia ni makao makuu ya wilaya hii. Eneo lake limeanza kuitwa kwa jina la "[[Maswa]]" pia. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 14,354 waishio humo. <ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Simiyu Region - Maswa District Council]</ref> [[Msimbo wa posta]] ni 39319.
 
==Marejeo==