Balozi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Vladimir Putin with Patrick Segeja Chokala.jpg|250px|thumb|Balozi Chokala kutoka [[Tanzania]] akikabidhi barua rasmi ya kutambulishwa kwa [[rais]] wa [[Urusi]] [[Vladimir Putin]].]]
'''Balozi''' ni mwakilishi rasmi wa [[serikali]] ya nchi yake katika nchi nyingine. Anatumwa kwenda nchi nyinginehuko na [[wizara waya mambo ya nje]] akitazamiwa kama mwakilishi wa mkuu wa nchi inayomtuma.
 
Kwa kawaida anaongoza [[ofisi]] ya [[ubalozi]] ambako anasaidiwa na [[afisa|maafisa]] wengine wanaotumwa katika utaratibu wa [[diplomasia]].

Nchi zinazopokea ubalozi zinakubali pia [[huria ya kidiplomasia]] inayomaanisha ya kwamba balozi na [[wanadiplomasia]] wakewenzake hawawezi kukamatwa wala kuadhibiwa katika nchi wanapotumwa kwa kosa lolote. naVilevile [[Jengo|majengo]] ya ubalozi hutazamiwahutazamwa kama [[ardhi]] ya nchi nyingine ambako [[polisi]] ya nchi ulipo haiwezi kuingia. [[Mzigo]] wake haiwezi kufunguliwa na maafisa wa [[forodha]] au polisi katika nchi alikotumwa. Utaratibu huu ulikubaliwa katika [[Mkataba wa Kimataifa wa Vienna]] kuhusu Diplomasia.

Balozi mpya anatumwa na barua rasmi kutoka [[wizara]] yake akikubaliwa na nchi anapohudumia. Nchi inayompokea inaweza kumwambia pia aondoke tena.
 
Balozi hutumwa kwenda nchi nyingine kwa miaka kadhaa akirudi baadaye katika nchi yake ambako anaweza kuendelea kufanya kazi ndani ya wizara au kutumwa tena kwa nchi nyingine.
 
==Matumizi mengine==
Nchini [[Tanzania]] [[jina]] "balozi" hutumiwa pia kumtaja "balozi wa nyumba kumi" (ing.kwa [[Kiingereza]] ''ten cell leader'') ambaye ni mwakilishi wa [[Chama cha Mapinduzi]] katika eneo la [[nyumba]] [[kumi]] za jirani.<ref>[https://editorialexpress.com/cgi-bin/conference/download.cgi?db_name=CSAE2014&paper_id=900 Kevin Croke, Strategies of Single Party Hegemony in Tanzania] , taarifa juu ya utafiti ulioendeshwa na Benki ya Dunia mnamo , Journal Democratization Volume 24, 2017 - Issue 2zania: Evidence from Survey Experiments </ref>
 
[[Jamii:Diplomasia]]
[[Jamii:Serikali]]
[[Jamii:Sheria]]