Meli za mizigo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Cargo Granat, Emder Hafen.jpg|thumb|MeliCargo Ya mizigoGranat]]
'''Meli''' za mizigo ni [[meli]] ambazo hutumika kubeba [[mizigo]] mbalimbali nakusafirisha kutoka sehemu moja kwenda nyingine.[[Meli]] za [[mizigo]] za sasa ni tofauti na [[meli za mizigo]] za zamani kwani za sasa zinatengenezwa kwa [[teknolojia]] ya kisasa na zinatumi [[umeme]] kutembea tofauti na [[meli]] za zamani zilizokuwa zikitumia [[makaa ya mawe]] ilikuweza kutembea.[[Meli]] hizi za [[mizigo]] za kisasa zinaweza kubeba [[mizigo]] mingi na mizito kama vile [[magari]],mashine mbalimbali za [[kazi]] na kusafirisha kutoka [[bara]] moja kwenda [[bara]] jingine.[[Meli]] hizi hutumia muda mrefu kufika sehemu husika kwani kuna muda [[meli]] hizi husumbuliwa na [[dhoruba]] za majini kama vile [[mawimbi]],na muda mwingine [[meli]] hizi huitaji kufanyiwa [[matengenezo]] iliziweze kuendelea na [[safari]] zake.