Meli za mizigo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Cargo Granat, Emder Hafen.jpg|thumb|Cargo Granat]]
'''Meli''' za mizigo''' ni [[meli]] ambazo hutumika kubeba [[mizigo]] mbalimbali nakusafirishana kuisafirisha kutoka sehemu moja kwenda nyingine.[[

Meli]] za [[mizigo]] za sasa ni tofauti na [[meli za mizigo]] za zamani kwani za sasa zinatengenezwa kwa [[teknolojia]] ya kisasa na zinatumizinatumia [[umeme]] kutembea, tofauti na [[meli]] za zamani zilizokuwa zikitumia [[makaa ya mawe]] ilikuwezaili kuweza kutembea.

[[Meli]] hizi za [[mizigo]] za kisasa zinaweza kubeba [[mizigo]] mingi na mizito kama vile [[magari]], [[mashine]] mbalimbali za [[kazi]] na kusafirisha kutoka [[bara]] moja kwenda [[bara]] jingine.

[[Meli]] hizi hutumia muda mrefu kufika sehemu husika kwani kuna muda [[meli]] hizi husumbuliwa na [[dhoruba]] za majini kama vile [[mawimbi]], na muda mwingine [[meli]] hizi huitajihuhitaji kufanyiwa [[matengenezo]] iliziwezeili ziweze kuendelea na [[safari]] zake.
 
{{mbegu}}
 
[[Jamii:Usafiri wa maji]]