Bahari ya Chumvi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Dead sea newspaper.jpg|right|thumb|300px|[[Mtalii]] akielea kwenye maji ya Bahari ya Chumvi na kusoma [[gazeti]].]]
[[File:Dead Sea Galilee.jpg|thumb|[[Picha]] kutoka [[Anga|angani]] ikionyesha bahari ya chumvi na maeneo ya jirani.]]
'''Bahari ya Chumvi''' (kwa Kiingereza: [[:en:Dead Sea|Dead Sea]], kwa [[Kiebrania]]: '''יָם הַ‏‏מֶ‏ּ‏לַ‏ח‎הַ‏‏מֶ‏ּ‏לַ‏ח'''‎ ''yam ha-melaḥ'' "bahari ya chumvi"; kwa [[Kiarabu]]: ''' ألبَحْر ألمَيّت‎''' ''al-bahrᵘ l-mayyit'', "bahari ya mauti"; kwa [[Kiingereza]]: [[:en:Dead Sea|Dead Sea]]) ni [[ziwa]] lililoko kati ya nchi za [[Israel]], [[Palestina]] na [[Yordani]].
 
Ziwa liko ndani ya [[bonde]] la [[mto Yordani]] ambalo ni sehemu ya [[Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki]]. Eneo lake ni takriban [[km²]] 600.
 
[[Mwambao]] wa ziwa ni mahali pa chini kabisa kwenye nchi kavu ya [[dunia]]: uko [[mita]] 400 chini ya [[uwiano wa bahari]]. Kwa sababu hiyo kuna [[joto]] kali linalosababisha maji mengi kugeuka [[mvuke]] na kuacha [[chumvi]] nyingi: kiasi cha chumvi ni mara [[tisa]] kulinganisha na chumvi katika maji ya [[Bahari ya Kati]]. Kiasi hicho kikubwa cha chumvi kimezuia kuwepo kwa [[samaki]] ndani yake; [[uhai]] pekee ni aina za [[bakteria]] na [[algae]].
 
Kwa sababu hiyo kuna [[joto]] kali linalosababisha maji mengi kugeuka [[mvuke]] na kuacha [[chumvi]] nyingi: kiasi cha chumvi ni mara [[tisa]] kulinganisha na chumvi katika maji ya [[Bahari ya Kati]].
Kiasi kikubwa cha chumvi kimesababisha [[densiti]] ya maji yake kuwa juu; hivyo [[binadamu]] [[ueleaji|huelea]] tu katika maji haya, bila ya kuhitaji jitihada yoyote. Watalii hupenda kufika huko wakiogelea na kujipakia [[matope]] ya ziwa yanayosemekana kuwa na [[tabia]] za kuponya [[magonjwa]] ya [[ngozi]].
 
Kiasi hicho kikubwa cha chumvi kimezuia kuwepo kwa [[samaki]] ndani yake; [[uhai]] pekee ni aina za [[bakteria]] na [[algae]].
 
Kiasi kikubwa cha chumvi kimesababisha [[densiti]] ya maji yake kuwa juu; hivyo [[binadamu]] [[ueleaji|huelea]] tu katika maji haya, bila ya kuhitaji jitihada yoyote. Watalii hupenda kufika huko wakiogelea na kujipakia [[matope]] ya ziwa yanayosemekana kuwa na [[tabia]] za kuponya [[magonjwa]] ya [[ngozi]].
 
[[Watalii]] hupenda kufika huko wakiogelea na kujipakia [[matope]] ya ziwa yanayosemekana kuwa na [[tabia]] za kuponya [[magonjwa]] ya [[ngozi]].
 
Israel na Yordani zimeanzisha [[viwanda]] vinavyosafisha aina mbalimbali za chumvi kwa matumizi ya [[biashara]].
 
Kwa jumla kiasi cha maji ziwani kimerudi nyuma kwa sababu mto Yordani, ambayoambao ni mto wa pekee unaoingia humo, umehamishwa kwa shughuli za [[umwagiliaji]].
 
Kuna sababu mbalimbali za kuelezea umaarufu wa bahari hii.
 
Kwanza, sifa yake imeenea kutokana na kutajwa sana kwenye [[Biblia]], [[kitabu]] kitakatifu cha waumini [[Wakristo]].
 
Pili, maji yake ina chumvi nyingi sana ambayo inafanya mtu kuelea anapoingia ndani. Yaani, hii ndiyo bahari pekee ambayo watalii huwakuta wenzao wakisoma gazeti majini bila kuzama. Chumvi yake ni kuanzia mara 8 ikilinganishwa na bahari zingine.
 
Uchunguzi makini unaonyesha kwamba chumvi kupita kiwango cha kawaida ndiyo sababu ya bahari hii kuwa na jina la kimaajazi, ‘ya kifo’. Hakuna [[uhai]] wa mimea wala wanyama unaopatikana katika bahari hiyo.
 
Lakini kuna [[bidhaa]] za maana zinazowavutia watalii: madini au matope ya Bahari hiyo yanasifika sana kwa sababu yana uwezo wa kutibu [[magonjwa]] mbalimbali.
 
Kama ilivyo desturi, watalii huzuru bahari hiyo na kuosha miili yao kwa kufaidika na madini hayo. Lakini si lazima mtu azuru Bahari ya Kifo ili apate [[matibabu]] kutokana na madini haya. Siku hizi kuna [[kampuni]] nyingi ambazo zinayauza kwa [[bei]] nafuu. Matope hayo yamebeba [[ioni]] ambazo hutoa [[uchafu]] na [[kemikali]] ambazo huharibu [[ngozi]] ya [[binadamu]]. Kulingana na mahitaji ya mtu binafsi, madini hayo yaweza kutumiwa peke yake ama pamoja na bidhaa nyingine kama vile mafuta ya ngozi na nywele.
 
== Viungo vya nje ==
*https://www.researchgate.net/publication/6548248_A_facial_mask_comprising_Dead_Sea_mud
*https://floralbeautyspot.com/all-about-dead-sea-mud-mask/
 
{{mbegu-jio-Asia}}