Tutuko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{Infobox disease | Image = Herpes(PHIL 1573 lores).jpg | Caption = Hepesi ya mdomo wa chini. | DiseasesDB = 5841 | DiseasesDB_m...'
 
No edit summary
Mstari 13:
| MeshID = D006561 }}
<!-- Maelezo na dalili -->
'''Tutuko''' (kutoka [[kitenzi]] "kututuka"; pia '''Hepesi simpleksi''' kutoka [[jina]] la [[Kiingereza]] lenye [[asili]] ya [[Kigiriki]] ἕρπης, ''herpes'', "unaoenea polepole" au "uliofichika") ni [[ugonjwa wa kuambukiza]] unaosababishwa na [[virusi vya hepesi simpleksi]].<ref name=CDC2014F/>
 
[[Maambukizi]] yameainishwa kulingana na sehemu ya [[mwili]] iliyoambukizwa. [[Hepesi ya mdomo]] hujumuisha [[uso]] au [[mdomo]]. Inaweza kusababisha [[malengelenge]] madogo katika vikundi yaitwayo vidonda baridi au malengelenge ya joto jingi au inaweza tu kusababisha [[maumivu]] ya [[koo]].<ref name=Bal2014/><ref>{{cite book|last1=Mosby|title=Mosby's Medical Dictionary|date=2013|publisher=Elsevier Health Sciences|isbn=9780323112581|pages=836-837|edition=9|url=https://books.google.ca/books?id=aW0zkZl0JgQC&pg=PA836}}</ref> [[hepesi ya viungo vya uzazi]] ambayo inaweza kuwa na [[dalili]] chache au kusababisha malengelenge ambayo hupasuka na kusababisha [[vidonda]] vidogo.<!-- <ref name=CDC2014F/> --> Hivyo kwa kawaida hupona kwa [[muda]] wa [[wiki]] [[mbili]] hadi [[nne]].<!-- <ref name=CDC2014F/> --> Maumivu yanayowasha au yanayochoma yanaweza kutokea kabla ya malengelenge kutokea.<!-- <ref name=CDC2014F/> --> Hepesi huzunguka kati ya vipindi vya ugonjwa vilivyo na dalili vikifuatiwa na vipindi visivyo na dalili.<!-- <ref name=CDC2014F/> --> Kwa kawaida kipindi cha kwanza huwa kali zaidi na kinaweza kuhusishwa na [[joto]] jingi, maumivu ya [[misuli]], [[nodi ya limfu]] iliyovimba na maumivu ya [[kichwa]].<!-- <ref name=CDC2014F/> --> Muda unavyosonga, vipindi vya ugonjwa vilivyo na dalili hupungua kwa mara unapotokea na ukali.<ref name=CDC2014F/>
Mstari 22:
Kuna aina mbili za [[virusi]] vya hepesi simpleksi: aina ya 1 (HSV-1) na aina ya 2 (HSV-2).<ref name=CDC2014F/> HSV-1 kwa kawaida zaidi husababisha maambukizi ya mdomo huku HSV-2 kwa kawaida zaidi ikisababisha maambukizi ya viungo vya uzazi.<ref name=Bal2014/>
 
Husababishwa kwa kugusana moja kwa moja kwa [[Kiowevu|viowevu]] vya mwili au vidonda vya mtu aliyeambukizwa.<!-- <ref name=CDC2014F/> --> Kuenea bado kunaweza kutokea hata iwapo dalili hazipo.<!-- <ref name=CDC2014F/> --> Hepesi ya [[jenitalia]] imeainishwa kama maambukizi yanayoenezwa kupitia [[ngono]].<!-- <ref name=CDC2014F/> --> Yanaweza kuenezwa kwa mtoto mchanga wakati wa kuzaliwa.<ref name=CDC2014F/> Baada ya kuambukizwa, maambukizi husafirishwa kupitia nuroni[[nyuroni]] inayopitisha [[hisia]] hadi kwa [[seli]] za [[neva]], pale ambapo virusi hukaa kwa maisha yote.<ref name=Bal2014>{{cite journal|last1=Balasubramaniam|first1=R|last2=Kuperstein|first2=AS|last3=Stoopler|first3=ET|title=Update on oral herpes virus infections.|journal=Dental clinics of North America|date=April 2014|volume=58|issue=2|pages=265-80|pmid=24655522}}</ref>
 
Visababishi vya kujirudia vinaweza kujumuisha: [[kupungua kwa utenda kazi wa kingamwili]], mfadhaiko,mafadhaiko na kupatana na [[jua]].<ref name="Saratani">{{cite journal |author=Elad S |title=A systematic review of viral infections associated with oral involvement in cancer patients: a spotlight on Herpesviridea |journal=Support Care Cancer |volume=18 |issue=8 |pages=993–1006 |date=August 2010 |pmid=20544224 |url=http://www.springerlink.com/content/g476114717852h80/ |doi=10.1007/s00520-010-0900-3 |author-separator=, |author2=Zadik Y |author3=Hewson I |display-authors=3 |last4=Hovan |first4=Allan |last5=Correa |first5=M. Elvira P. |last6=Logan |first6=Richard |last7=Elting |first7=Linda S. |last8=Spijkervet |first8=Fred K. L. |last9=Brennan |first9=Michael T.}}</ref><ref name=Bal2014/>
 
Hepesi ya mdomo na ile ya jenitalia kwa kawaida hutambuliwa kwa kuzingatia dalili zilizodhihirika.<ref name=Bal2014/> Utambuzi unaweza kuthibitishwa na [[tabia ya virusi]] au [[DNA]] ya kutambua hepesi kwenye viowevu vinavyotoka katika malengelenge.<!-- <ref name=CDC2014F/> --> Kuchunguza [[damu]] ili kutambua [[kingamwili]] dhidi ya virusi kunaweza kuthibitisha maambukizi ya hapo awali lakini kutakuwa hasi katika maambukizi mapya.<ref name=CDC2014F/>